KUNDI HILI LINAUNDWA NA WAIMBAJI KAMA;-PAUL MGEMA,DANIFORD WILLIAM,MAFURU MOSES,MESHACK GEORGE,DENIZ CHARLES,DAVID JOSEPHAT NA CHARLES NHUNGO |
WAIMBAJI HAWA WATAKUWA NA AZIMISHO LA MIAKA 10 YA HUDUMA YA UIMBAJI MWEZI DISEMBA MWAKA HUU KATIKA UKUMBI WA GOLD CREST KATIKA UKUMBI WA NYERERE NA TAREHE KUTAJWA BAADAE. |
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment