Akitangaza matangazo ya maendeleo ya ujenzi na hatua za uwekwaji wakfu katika ibada ya jana,mwenyekiti wa kamati ya uwekaji wakfu kanisa la Kimara Mr.Manongi amesema maendeleo ya ujenzi yanaenda hatua za mwisho hasa kwenye sehemu ya kisima cha ubatizo,stoo ya kanisa na ofisi ya mchungaji japo si sehemu zote lakini maendeleo ni mazuri.
Sehemu zilizobaki kwa sasa ikiwa ni kusawazisha eneo la kanisa kwa nje kwa ajili ya maegesho ya magari(landscaping) na kupaka rangi kanisa lote kwa sehemu ya nje.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Sehemu zilizobaki kwa sasa ikiwa ni kusawazisha eneo la kanisa kwa nje kwa ajili ya maegesho ya magari(landscaping) na kupaka rangi kanisa lote kwa sehemu ya nje.
Maandalizi ya kisima cha ubatizo kwa sehemu ya nje. |
Maandalizi ya kisima cha ubatizo kwa sehemu ya ndani. |
Mchanga uliotayari kwa ajili kufanyiwa kazi ya kutengeneza stoo ya kanisa. |
Jengo la stoo ya kanisa kama livyoonekana katika hatua nzuri. |
Sehemu ya ujenzi wa stoo ya kanisa la mahali ambapo kazi ya usawazishaji wa eneo maalum la kuegesha magari. |
Sehemu ya ujenzi wa stoo ya kanisa la mahali ambapo kazi ya usawazishaji wa eneo maalum la kuegesha magari. |
0 comments:
Post a Comment