Thursday, November 27, 2014

Mwenyekiti wa (NTUC)Union Konferensi ya Nyanda za kusini mwa Tanzania akizindua nyumba  pamoja na gari ya shule  aina ya rosta.Akifurahishwa sana na poem iliyotolewa na watoto ikihusiana na wakina baba kutowasomesha watoto wa kike.Mibaraka tele toka kwa mwenyezi mungu kwa shule ya Adventist Alpha ilitolewa.Furaha tele kwa wanafunzi wa Alpha ilionekana kwa kuona Askofu mkuu aliombea bas hilo litumike kwa makusudi yake na Mungu kulilinda linapoendelea kutoa huduma kwa watoto.











****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA