Ibada hii imefanyika siku ya Sabato Novemba 8 katika kanisa la Waadventista Wasabato Yombo na ibada hii ilikuwa maalum kwa ajili ya kwaya na huduma za uimbaji ambapo kwaya mbalimbali kama;-Keko,Turian toka Morogoro na Chang'ombe zilihudumu kwa nafasi hiyo ya uimbaji.
Mwinjilisti Maotola J.Lumbe alikuwa mhubiri na kuu likiwa na kichwa kinachosema "TAMARI" fungu kuu likiwa ni Zaburi 92:12
|
|
Kwaya ya Chang'ombe wakihudumu kwa njia ya uimbaji siku ya sabato ya wageni. |
|
|
Waimbaji wa Keko Sda wakiimba siku ya sabato ya wageni. |
|
Kwaya ya Madizini toka Turiani-Morogoro wakiimba katika sabato ya wageni |
|
Mwinjilisti Maotola Lumbe toka Mikocheni akifafanua neno la uzima katika huduma kuu kanisani Yombo Sda. |
|
Mwinjilisti Maotola Lumbe toka Mikocheni akifafanua neno la uzima katika huduma kuu kanisani Yombo Sda. Habari na Maotola John Lumbe |
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment