Kinyerezi SDA Church - mahali tutakapofanyia semina za Pre-extravaganza kuanzia 01 hadi 03/02/2014. Kituo hiki kitajumuisha viongozi wa Shule ya Sabato, Huduma, AMO, Dorcas, Wainjilisti walei na wamishionari, wazee wa Kanisa na mashemasi. Waseminishaji ni Mkurugenzi wa Global Mission wa GC, ECD, na wa Union. Semina zitaendeshwa kwa mitindo wa workshop (karakana. Msiikose mkutano huu.
HABARI NA MCHUNGAJI STEPHEN LETTA
 |
| Upanuzi na Ujenzi wa makanisa ukiendelea kule Segerea na Kinyelezi vituo tunavyokusudia kunitumia kwa pre-extravaganza uanzishwaji 1-3/2/2015 kama yanavyoonekana tulipoyatembelea.. |

| Kanisa la Waadventista Segerea wamepiga hatua na wanatuonesha njia. Bwana awabariki. |
 |
| Upanuzi na Ujenzi wa makanisa ukiendelea kule Segerea na Kinyelezi vituo tunavyokusudia kunitumia kwa pre-extravaganza uanzishwaji 1-3/2/2015 kama yanavyoonekana tulipoyatembelea.. |
0 comments:
Post a Comment