Mwimbaji Nuru Kitambo ameongea na injilileo Blog na kusema kuwa maandalizi ya albamu mpya yanaendelea vizuri na albamu hii itakuwa na nyimbo kumi na kufanyiwa maandalizi chini ya studio ya Omega Production mzalishaji(producer) ni Amri Hingi na mwisho alimalizia kwa kusema kwamba"kwa neema ya Yesu mwezi wa pili mwakani itakuwa sokoni"
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
![]() |
| Mwimbaji wa nyimbo za injili Nuru Kitambo |




0 comments:
Post a Comment