![]() |
| Washiriki wa kanisa na hapa ni katika ibada kuu wakisikiliza kwa makini. |
![]() |
| Hili ndilo kanisa la kijiji cha Paji Meatu mkoani Simiyu. |
![]() |
| Ibada imekwisha na washiriki wanarudi katika makazi yao,pichani ni Samwel M Ndamo(kushoto) na kulia ni Mhazini wa kanisa la Paji sda Jonas Mkumbo |
![]() |
| Waimbaji wa kwaya ya Vitakuu sda toka kijiji cha Paji-Meatu Habari na Samweli M Ndamo |







0 comments:
Post a Comment