Ujenzi huu unaendelea vyema kwani tangu injilileo blog ianze kuandika habari juu ya ujenzi huu,jana nimekuta hatua kubwa sana kwani hapakuwepo na rangi sasa imepakwa,pia kisima cha ubatizo kilikuwa bado hata rangi lakini sasa tayari na eneo la kuegesha magari nalo liko safi.
Mungu awatangulie kwa kazi hii,Amen
|
Jengo jeupe ni maalum kwa huduma ya ubatizo na kwa ndani ndio kisima hizo kwa juu kukiwa na tenki la maji |
|
Mafundi kazini.. |
|
Mafundi kazini.. |
|
Karibu Kanisa la Waadventista Wasabato Kimara-Dar Es Salaam |
|
Sehemu ya maegesho ya magari(parking) kama inavyoonekana katika picha lakini kwa siku za awali hali haikuwa hivi,hatua ni kubwa sana.. |
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment