Hayo yamesemwa hapo jana na Mzee wa kanisa la Ubungo Hill SDA Mr.Mwakalonge katika uzinduzi wa DVD namba 2 ya vijana wa Tucasa Mabibo Hostel na akitoa fungu la maandiko matakatifu toka kitabu cha Zaburi 150
Swali hili kwanini watu humsifu Mungu hasa kwa njia ya kuimba? kuna umuhimu gani sisi kujifunza?hakika zipo faida zinazoletwa na mziki katika maisha yetu..
Zifuatazo ni faida ambazo hujibu swali hili;-
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

- Huleta furaha kwa mtu anayesikiliza hasa pale wimbo huo ukifata kanuni na taratibu kwenye upangiliaji wa ala zake na sauti na pia ikiwa tofauti na furaha basi muziki pia humfanya mtu kuwa na huzuni.
- Huwezesha mtu kubashiri haiba ya mtu(to predict personality)
- Hukuza uwezo wa kuwa mbunifu
- Huwezesha ukuwaji wa ubongo wa mtu kwa mtu mzima mpaka mtoto
- Mziki hutuwezesha kufanya mazoezi.
- Mziki unatabia ya kumchukua mtu katika mawazo toka mahali alipo na kumpeleka mahali asipo hivyo ni vyema kuwa waangalifu na usikilizaji wa miziki hii.
- Huwezesha urejeshwaji wa akili iliyoharibika na kusumbuliwa na mambo mwengi.
MR.Mwakalonge mmoja wa wazee wa kanisa la Waadventista Wasabato Ubungo Hill MR.Mwakalonge mmoja wa wazee wa kanisa la Waadventista Wasabato Ubungo Hill
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:
Post a Comment