Sunday, December 28, 2014

BWANA asifiwe Pr. Nicanor Kikiwa amefika New Delhi
Jana aliondoka Tanzania saa nne asubuhi na SAA saba usiku alifika mumbay akakaa mpaka SAA 6:25 akapanda ndege nyingine kwenda new Delhi na kufika saa 8:30 asubuhi ambapo yupo hapo hadi sasa akisubiri matibabu.
pamoja naye wamekwanda na mke wake pamoja na Dr. Alex Magufwa
FAMILIYA YA MCH. NEHEMIA KIKIWA MCHUNGAJI MSTAAFU INA TOA SHUKRANI KWA MAOMBI YAKO NA MICHANGO. NA KUKUOMBA TUENDELEE KUOMBA NA KUCHANGA.
Siku zilizopita,mchungaji Harun Kikiwa (hayupo pichani) ambaye ni kaka wa Nicanor Kikiwa(pichani) aliandika juu ya kupata michango ya  kusaidia mwenzetu na rafiki yetu huyu apate kwenda India kwa matibabu,taarifa hapo juu ni yake pia Nehemia Kikiwa kuwa Mchungaji Nicanor amefika tayari India mji wa New Delh kwa ajili za taratibu za matibabu,michango bado ni muhimu sana,Tafadhali unaombwa kuchangia kwa akaunti NBC BRANCH, JINA NICANOR NEHEMIAH KIKIWA, NAMBA YA AKAUNTI 080201002305 au kwa m pesa 0754724298, 0683724298. 
 BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAKE AKIWA AIRPORT===>



Kulia ni Harun Kikiwa akiwa na Nicanor Kikiwa katika uwanja wa Ndege wa Mwl Nyerere DSM
Nicanor Kikiwa akiwa na wanafamilia kwenye uwanja wa ndege DSM

Nicanor Kikiwa akiwa na wanafamilia kwenye uwanja wa ndege DSM




****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0789 243 413 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA