Wednesday, December 24, 2014


Mkutano  mkuu wa Vijana,Master Guide pamoja na Wanafunzi wa vyuo vikuu wa Afrika mashariki ulio andaliwa  Baratoni nchini Kenya  unaendelea vizuri huku Mgeni Rasmi Ndugu.Baraka Muganda Kutoka Marekani akiwapa vijana masomo yanayo watia nguvu vijana kuweza kusonga  mbele juu ya changamoto za Maisha  kwa ujumla na Huduma kwa Yesu, pamoja na hayo Wageni wengine walioambata na Mgeni Rasmi ni Bibi. Sarah Serum Mhazini Mkuu Kutoka Union ya Kenya na ECD Secretary Nathaniel Werema
Mgeni Ramsi Ndugu. Baraka Muganda akitoa ombi la Ufunguzi wa Mkutano  wa ECD
Bibi.Sarah Serum akitoa hotuba fupi katika mkutano wa  ECD
        Ndugu.Baraka Muganda kutoka Marekani akitoa somo juu ya Razaro


0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA