Tuesday, December 16, 2014

 Kundi la vijana waadventista wasabato toka chuo ifm(Tucasa ifm) wamefanikiwa kuwa miongoni mwa watu walioweza kuwepo habari zao katika website kubwa hapa Tanzania ya Global Publishers iliyochini ya Mr.Eric Shingongo na hapa wameeleza mambo mbalimbali ikiwemo mafanikio,changamoto na mipango yao ya mbeleni.
                                                              ===========
Toka Global Publishers
 "KAMERA yetu leo imekutana na kundi la waimbaji wa Injili liitwalo Vega-Capella ambapo washiriki wake huimba kwa kutumia sauti zao -- bila kutumia ala yoyote ya muziki ambayo wanaiita kwa jina la ‘Akapella’.

Kundi hilo lililoanza shughuli zake mwaka limedhamiria kuendelea na juhudi zake za kueneza Neno la Mungu ambapo mwenye kulitaka anaweza kuwasiliana nao kwa kupitia namba za simu 0765 439362 na 0715 508597. Kujua mengi kuhusu kundi hilo tembelea www.globaltvtz.com"

Kutoka kulia ni Lubigisa,Gwishira,Joshua na Obed wakiimba katika mahojiano yaliyofanywa na gpl..
Kutoka kulia ni Lubigisa,Gwishira,Joshua na Obed wakiimba katika mahojiano yaliyofanywa na gpl..
Kutoka kulia ni Lubigisa,Gwishira,Joshua na Obed wakiimba katika mahojiano yaliyofanywa na gpl..
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA