Saturday, December 20, 2014

Wiki hii imepata kuhudumiwa na Mchungaji Dominic Mapima akianza kwa maandiko kuanzia saa1 hadi 2 usiku na saa2 usiku ni Mwinjilisti G.Machota na Mwinjilisti Oswadi wote kutoka Tucasa Mbeya
wana rusha mafundisho kwa njia ya KIAMBAZA- yaani projector,kukiwa na waimbaji kama;-Namsifu Mbuso,Nuru Kitambo,Kwaya ya Kinyerezi Sda na TUCASA PARADIZIM..

Mada mbambali zimekuwa mbaraka  kama vile KUANGAMIA KATIKATI YA MCHAKATO WA KUOKOLEWA  na THAMANI YA UKRISTO 
 
Mchungaji Mapima kushoto akisema jambo katika masomo ya juma hili na kulia ni Mwinjilisti Peter..




****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA