| Mwinjilisti Dr.Nnumenye Mwandambo ambaye amekuwa mhubiri kwa majuma matatu sasa akisaidiana na Mwinjilisti G.Nazery (hayupo pichani) wamehudumu katika mkutano wa sherehe za utume yani Mission Extragavanza mkutano huu umeratibiwa na Kanisa la Waadventista Wasabato Kimara ukifanyika katika viwanja vya shule ya msingi Mavurunza-Kimara DSM.Sikiliza mahubiri hayo kwa somo "Pembe ndogo"likiletwa na mwinjilisti Dr.Mwandambo |
|
0 comments:
Post a Comment