Thursday, January 22, 2015

Mwendelezo wa masomo ya mahubiri toka kwenye mkutano wa neno la Mungu uliopo kwenye viwanja vya Mavurunga-Kimara Risoti karibu na chuo cha ukunga na uuguzi cha KAM.
Mkutano huu unaletwa kwenu na kanisa la Waadventista wasabato Kimara na wahubiri wanaohudumu ni Mwinjilisti Mwandambo(Mahubiri makuu) na Mwinjilisti G.Nazery(Tarumbeta ya vitabu)

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA