| Waimbaji wa kikundi cha THE BROTHERS wakiwa katika mahojiano na mwandishi wetu. |
Hayo yamesemwa hapo jana na baadhi ya waimbaji toka vikundi mbalimbali vya uimbaji nje na ndani ya jiji la Dar Es Salaam wakati wakiongea na mwandishi wetu katika viwanja vya kanisa la waadventista wasabato Ushindi.
Waimbaji hao wamepongeza juhudi za kanisa kwa kuwaleta waimbaji hao pamoja katika matukio kama haya ambayo huliwezesha neno la bwana kwenda mbele bila kuacha kundi la wainjilisti hawa.
Pia wamesisitiza kanisa lizidi kuwa karibu kwa matukio kama haya na hasa kwenye kukosoa,kushauri na kusaidia tasnia ya uimbaji kwa vikundi hata mtu mmoja mmoja katika huduma ya uimbaji.
| Mwimbaji sauti ya nne katika kikundi cha Family Music akihojiwa na mwandishi wetu. |



0 comments:
Post a Comment