Monday, January 05, 2015

Na Mwandishi wetu
Maneno hayo yamesemwa na Mchungaji Stephen Letta katika Sabato ya kwanza ya mwaka 2015 yakitolewa kama somo kuu la Sabato iliyofanyika siku ya tarehe 3/1/2015 katika viwanja vya Kanisa la Waadventista Wasabato Manzese.
                                                         ===========
Sabato hii ilihudhuriwa na washiriki wa mtaa wa  kanisa la Manzese SDA toka makanisa yanayounda mtaa huo kama vile;-Tandale,Sinza na Manzese yakiwa chini ya uongozi wa Mchungaji wa mtaa,David Mbaga.Pamoja na mambo mengine ibada hii iliambatana na utoaji wa shukrani kwa Mungu kwa yale yote aliyoyatenda kwa washiriki hasa kufika mwaka 2015 wakiwa wazima.
                                                          ===========
Mkurugezi wa Huduma toka Union ya Kusini mwa Tanzania,Mchungaji Stephen Letta .

Pamoja na huduma za siku hiyo,kulikuwa na maombezi yaliyotolewa na mhudumu mkuu wa siku hiyo ambaye ni Mkurugezi wa Huduma toka Union ya Kusini mwa Tanzania,Mchungaji Stephen Letta ....
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA