SIKILIZA SAUTI YA MCHUNGAJI RUGURI AKITOA WITO KWA KANISA JUU YA TAASISI HII YA WANATAALUMA VIJANA WA KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO.
Akizindua taasisi hiyo siku ya sabato ya tarehe 31 January 2015,Mwenyekiti wa Division ya Afrika Mashariki na Kati ya kanisa la waadventista wasabato Dr.Blasious Ruguri ametoa wito kwa vijana kukubali kutumika na kanisa hasa pale kwenye maamuzi yanayohitaji taaluma zao.
Akitoa mfano toka kwenye maandiko matakatifu yaani biblia,asema kuwa hekima ya vijana wa kiebrania ambao walikuwa watumwa,Daniel,Meshaki na Abedineko hekima hiyo ndio ilimuinua Mungu wa kweli kupata kuabudiwa na taifa la babeli,hivyo na vijana leo wapaswa kuwa na hekima kama kina Danel.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Akizindua taasisi hiyo siku ya sabato ya tarehe 31 January 2015,Mwenyekiti wa Division ya Afrika Mashariki na Kati ya kanisa la waadventista wasabato Dr.Blasious Ruguri ametoa wito kwa vijana kukubali kutumika na kanisa hasa pale kwenye maamuzi yanayohitaji taaluma zao.
Akitoa mfano toka kwenye maandiko matakatifu yaani biblia,asema kuwa hekima ya vijana wa kiebrania ambao walikuwa watumwa,Daniel,Meshaki na Abedineko hekima hiyo ndio ilimuinua Mungu wa kweli kupata kuabudiwa na taifa la babeli,hivyo na vijana leo wapaswa kuwa na hekima kama kina Danel.
Baadhi ya washiriki na viongozi walifatilia kile kilichokuwa kinajili katika uzinduzi wa taasisi ya wanataaluma vijana . |

Wavuti ya taasisi ikiwa imefunguliwa rasmi kwa tukio la kuzinduliwa rasmi kwa taasisi hiyo. |
Picha ya pamoja ya viongozi wa Division,Union na Conference mara baada ya uzinduzi wa taasisi ya wanataaluma vijana waadventista wasabato kwa Tanzania. |

0 comments:
Post a Comment