Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi tuzo na fedha taslim kijana Mohammed Suleiman Khalfan baada ya kuwa Mwanafunzi Bora wa Fani ya Hesabu katika chuo cha Elimu ya Biashara Pemba.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Seif Ali Iddi akimzawadia
Tuzo na Fedha Taslim Mwanafunzi Bora wa Fani ya Mawasiliano ya Umma wa
Chuo cha Elimu ya Biashara Pemba Nassor Mussa Khamis kwenye mahafali ya
chuo hicho hapo Vitongoji Chake Chake Pemba.
Wahitimu
wa Chuo cha Elimu ya Baishara Pemba wakiandamana kuingia katika uwanja
wa Michezo wa Chuo cha Amali Vitongoji kwa ajili ya Hamafali yao baada
ya kumaliza mafdunzo yao ngazi ya Cheti.
Wahitimu
wa Chuo cha Elimu ya Biashara Pemba wakiwa tayari kuthibitishwa
kukamilisha mafunzo yao na kupewa vyeti vyao kwenye mahafali yao ambapo
mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali
Iddi.
Baadhi
ya wahitimu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Pemba wakifuatilia matukio
mbali mbali kwenye mahafali yao iliyofanyika katika viwanja vya Chuo cha
Amali Vitongoji Chake chake Pemba.
Balozi
Seif akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Bodi ya chuo cha elimu
ya Baishara pamoja na Serikali Mkoa wa Kusini pemba mara baada ya
kukamilika kwa mahafali ya kwanza ya chuo hicho.Kulia ya Balozi Seif ni
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo akiwa pia Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Nd.
Hemed Suleiman Abdullah, Mkuu wa Chuo hicho Abdulwahab Said Abubakari
na Mhadhiri wa chuo hicho Moh’d Said.
Kushoto ya Balozi Seif ni Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mh. Mwanajuja
Majid na Mkuu wa Wilaya ya Chake chake Bibi Hanuna Ibrahim Masoud.
Balozi
Seif akiwa katika Picha ya pamoja na Uongozi na wahadhiri wa chuo cha
elimu ya Biashara Pemba mara baada ya kukamilika kwa mahafali ya kwanza
ya chuo hicho tokea kilipoanzishwa Januari 2014.
Picha na – OMPR – ZNZ.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***










0 comments:
Post a Comment