Tuesday, February 24, 2015

Wahudumu wa hosptali walifurahi kupata ugeni huu na hasa nyimbo wanazoimba waadventista wasabato hivyo walipewa ruhusa kutoa huduma ya nyimbo pia.
Wakiwa katika makundi makundi waligawanyika  kwenda maodini kufariji wagonjwa na kugawa vitu vya uhitaji kama dawa za meno ,miswaki na sabuni.


0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA