Saturday, February 28, 2015

 Program hii imeanza asubuhi ya leo kwa uimbaji na ibada ya kawaida na baadae huduma ya kipekee itafanyika mchana wa leo.
Kanisa la Temeke sda lipo wilaya ya Temeke jijini Dar Es Salaam likiwa na vikundi mbalimbali vya uimbaji,waimbaji binafsi na kwaya zote yani tangu watoto wadogo,ambassadors,Ay,Amo,Dorcas na kwaya ya kanisa.







****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories: ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA