Wednesday, February 25, 2015

Hapa akiwa na dada yake kipenzi Diana
Miaka 6 iliyopita hapa ni St Anne Marie Sec akiimba kwaya na wenzake siku ya mahafari ya kidato cha nne ya dini shuleni hapo.
Kijana miaka mingapi sijui hapa,dah hongera sana......
Umeamua kupambana basi,mafanikio ni haki yako jitahidi ufikie malengo..
Ni baraka mpya usipoitunza vyema utaitafta kwa jasho ngumu,pongezi za dhati kwa kuwa mkuu wa libeneke hili kwa miaka 2 sasa hongera na Bwana akutumie..
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

1 comment:

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA