| Kikosi cha Watafuta njia (PFC) kikitoa heshima ya ukakamavu mbele ya wageni. |
| Baadhi ya Wageni wakiendele kuwasili katika maeneo ya uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Tanzania |
| dondoo za Idara ya Afya |
| Moja ya banda la maonesho ya bidhaa |
| Watu wakiendelea kupata maelezo katika banda la Adventist University of Africa |
| Banda la Bupandagila High School |
| Washiriki kutoka nchini Kenya wakipita mbele ya wageni |
| Washiriki kutoka nchi mwenyeji ya Tanzania wakipita |
Sherehe za utume kwa wiki ya mwisho mapema leo zimeanza kwa matukio ya huduma za uimbaji na baadaye kulifanyika mapokezi ya viongozi mbalimbali akiwepo Mwenyekiti wa Division ya Afrika Mashariki na kati ya kanisa la waadventista wasabato Mchungaji Dr.Blasious Ruguri akiambatana na makamu wa rais toka nchini Marekani.
Sherehe hizi zinahudhuriwa na washiriki toka nchi takribani 11 toka Afrika Mashariki na Kati na leo wamepita kwa maandamano wakitoa heshima na salam kwa wageni waliofika leo.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***



0 comments:
Post a Comment