Sunday, February 01, 2015

Muinjilisti Mophat akitoa neno
Nibaada ya Mahubiri yalioendeshwa na Mwinjilisti Mophat kwa siku  ishirini na moja jana yalifika mwisho na kuweza kuongoa Roho 19..
Roho hizo zinategemea kubatizwa siku ya Jumamosi kwenye hitimisho la Mkutano wa Extravagaza utakao fanyika kwenye viwanja vya Taifa Jijini Dar es Salaam..



  Pamoja na hilo Jana Jumamosi Familia zimekumbushwa kukumbuka Edeni  nahili lililetwa katika kipindi cha kaya nafamilia ambapo familia hizo hapo juu ziliingizwa na Kikosi cha Pathfainder katika kukumbuka siku za harusi zao

 Pamoja nahayo kanisa la Kimanga halikumuacha Muinjilisti  hivi hivi hivyo waliweza kumuandalia zawadi na kumpa wakati  wa kuagana hapo jana

Picha ya pamoja ya wainjilisti waimbaji pamoja na Muinjilist Mophat


Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA