| Vijana wa PFC na AC wa kanisa la Wasabato Ilala wakiwaribisha wageni mara baada ya kuwasili katika viwanja vya kanisa mapema leo Jumapili |
| Mch. Prof Blasious Ruguri akipata mapokezi maalum kutoka kwa kiongozi Samweli |
| Mke wa Mch. Ruguri mama Elizabeth akivishwa beji maalum kama ishara ya ukaribisho |
| Mchungaji Blasious Ruguri akivalishwa skafu na kijana wa PFC |
| Mch. Mark Malekana akivishwa beji ya ukaribisho |
| Vikosi vya AC na PFC wakienda kwa mwendo wa haraka kuwakaribisha wageni tayari kwa huduma ya kuweka kanisa wakfu |
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***



0 comments:
Post a Comment