Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akikagua maabara katika Shule ya Sekondari ya
Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam ambako pia alipokea na kugawa
vitabu vya sayansi vilivyochapishwa na Watu wa Marekani. Wa kwanza
kulia ni Dkt Shukuru Kawambwa, Waziri wa Elimu na
Mafunzo ya Ufundi, akifuatiwa na mke wa Rais Mama Salma Kikwete.
Mafunzo ya Ufundi, akifuatiwa na mke wa Rais Mama Salma Kikwete.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipokea baadhi ya vitabu vya sayansi toka kwa
Balozi wa Marekani nchini Mhe Mark Childress, Vitabu hivyo ambavyo
vimesambazwa katika shule zote za serikali nchi nzima vimechapishwa kwa
msaada wa Watu wa Marekani.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma kikwete, Balozi wa Marekani nchini
Mhe Mark Childress, Dkt Shukuru Kawambwa, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya
Ufundi,na viongozi wengine wakiangalia jinsi somo la sayansi
likifundishwa katika darasa la Kidatu cha pili Shule ya
Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam ambako pia alipokea na kugawa vitabu vya sayansi vilivyochapishwa na Watu wa Marekani
Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam ambako pia alipokea na kugawa vitabu vya sayansi vilivyochapishwa na Watu wa Marekani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma kikwete, Balozi wa Marekani
nchini Mhe Mark Childress, Dkt Shukuru Kawambwa, Waziri wa Elimu na
Mafunzo ya Ufundi,na viongozi wengine wakisalimia wanafunzi katika
darasa la Kidatu cha pili Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko
Kunduchi jijini Dar e salaam ambako pia alipokea na kugawa vitabu vya sayansi vilivyochapishwa na Watu wa Marekani
Kunduchi jijini Dar e salaam ambako pia alipokea na kugawa vitabu vya sayansi vilivyochapishwa na Watu wa Marekani
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Marekani nchini Mhe Mark Childress,
wakiongea na mkandarasi wa maabara ya Shule ya Sekondari ya Mtakuja
huko Kunduchi jijini Dar e salaam ambako pia alipokea na kugawa vitabu
vya sayansi vilivyotolewa na Watu wa Marekani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete na Balozi wa Marekani
nchini Mhe Mark Childress wakiwa na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya
Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam wakiwa na vitabu
vya sayansi vilivyochapishwa na Watu wa Marekani
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mtakuja
huko Kunduchi jijini Dar e salaam wakiimba kwa furaha katika
sherehe ya kukabidhiwa vitabu vya sayansi vilivyochapishwa na
Watu wa Marekani
Kikundi cha utamaduni cha jeshi la polisi kikitumbuiza
katika sherehe ya kukabidhiwa vitabu vya sayansi vilivyotolewa na
Watu wa Marekani
Baadhi ya maafisa wa ubalozi wa Marekani wakiwa katika
katika sherehe ya kukabidhiwa vitabu vya sayansi
vilivyochapishwa na Watu wa Marekani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea baadhi ya vitbu
vya sayansi toka kwa Balozi wa Marekani nchini Mhe Mark Childress,
Vitabu hivyo ambavyo vimesambazwa katika shule zote za serikali nchi
nzima vimechapishwa kwa msaada wa Watu wa
Marekani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Balozi wa
Marekani nchini Mhe Mark Childress akigawa vitabu kwa wanafunzi wa
Shule ya Sekondari ya Mtakuja ya Kunduchi jijini Dar es salaam. Vitabu
hivyo, ambavyo pia
vimesambazwa katika shule zote za serikali nchi nzima
vimechapishwa kwa msaada wa Watu wa
Marekani.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Balozi wa
Marekani nchini Mhe Mark Childress katika picha na baadhi ya
wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mtakuja ya Kunduchi jijini Dar es
salaam baada ya kuwagawia vitbu vya sayansi. Vitabu hivyo, ambavyo
pia vimesambazwa katika shule zote za serikali nchi nzima
vimechapishwa kwa msaada wa Watu wa Marekani.
Mwanafunzi wa Kidatu cha pili D, Khairat Nassor, akitoa
ushuhuda wa jinsi wanafunzi walivyokuwa na nafuu baada ya kupatikana
vitabu vya sayansi katika Shule ya Sekondari ya Mtakuja ya Kunduchi
jijini Dar es
salaam. Vitabu hivyo, ambavyo pia vimesambazwa katika shule
zote za serikali nchi nzima vimechapishwa kwa msaada wa Watu wa
Marekani.
Mama Salma Kikwete akiagana na walimu wenzake baada ya
sherehe za kukabidhi vitabu vya sayansi. katika Shule ya Sekondari
ya Mtakuja ya Kunduchi jijini Dar es salaam. Vitabu hivyo, ambavyo
pia vimesambazwa katika shule zote za serikali nchi nzima
vimechapishwa kwa msaada wa Watu wa Marekani.
Mama Salma Kikwete akiagana na walimu wenzake baada ya
sherehe za kukabidhi vitabu vya sayansi. katika Shule ya Sekondari
ya Mtakuja ya Kunduchi jijini Dar es salaam. Vitabu hivyo, ambavyo
pia vimesambazwa katika shule zote za serikali nchi nzima
vimechapishwa kwa msaada wa Watu wa Marekani. Picha na
IKULU

0 comments:
Post a Comment