Kiongozi wa Kanisa la Waadventista Wa
Sabato Duniani Mch Dr Ted Wilson amewasili jana na kuweka wakfu pamoja na
kufungua ofisi za Union ya Kusini mwa Tanzania katika Kanisa hilo
zilizopo Mbweni wilaya ya Kinondoni-Dar es salaam.
Hii leo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uwanja wa Taifa pamoja na mambo mengine atatembelea baadhi ya mabanda ya maonesho ya idara mbalimbali zilizo chini ya kanisa la waadventista wasabato na kesho keshiriki huduma ys ibada ya sabato uwanjani hapo.
picha na Mtangazaji Maduhu
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:
Post a Comment