Semina ya Uwakili ya Union Mission ya Kusini mwa Tanzania imeanza leo hadi Jumapili Gangilonga Iringa. Mnenaji mkuu ni Mkurugenzi wa Uwakili wa
General Conference E. Punina pia mkutano semina hizo zimehudhuliwa na Wazee wa Kanisa, na Wakuu wa Huduma za Uwakili kutoka makanisa ya
Konferensi za SHC, ECT, na SEC
![]() | ||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
Mkurugenzi wa Uwakili wa General Conference Pastor Erika Puni akifafanua uwakili unavyohusiana na uongofu. |
![]() |
Wana semina wa kiwa makini katika kusikiliza kile mnenaji mkuu anapotoa neno |
0 comments:
Post a Comment