 |
Yared Omolo ambaye ni karani wa kanisa wa kanisa la Ilala sda akisoma historia ya ujenzi wa kanisa la tukio ya leo kwa ujumla. |
 |
Wazee wa kanisa la Ilala na wachungaji waalikwa wakifatilia tukio hili la leo |
 |
Mwenyekiti wa konferensi ya Kusini mashariki Mchungaji Mark Walwa Malekana akitoa utambulisho kwa ugeni uliofika katika tukio la leo hapa kanisani leo. |
 |
Mwenyekiti wa Union ya Kaskazini wa Tanzania Mchungaji Godwin Lekundayo akitoa salamu zake mbele ya washiriki waliohudhuria. |
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment