Monday, February 02, 2015

 Akiongea na njilileo mapema mara baada ya semina fupi za mbinu na namna ya kuboresha idara hii,Mchungaji Philip Guy amesema tukio hili limepelekwa mbele hadi siku ya kesho hii ni kutokana na ubadilikaji wa ratiba za ndege ya mgeni rasmi  Mchungaji Howard ambaye ni Mgurugenzi mkuu wa idara uchapaji toka G.C(General Conference).
Mchungaji Guy ameanza semina hizi kwa wainjilisti wa vitabu tangu jana hadi leo ambapo pamoja na mambo mengine,amewataka wainjilisti kufuata taratibu na sheria  juu ya ulipwaji wa mafao pindi wanapostaafu au kuumia wakiwa kazini.
Ametoa wito kwa washiriki ambao sio wainjilisti wa vitabu kuingia katika idara kwani zipo shuhuda kubwa juu ya kazi hii.
Muonekano wa jengo la Uchapishaji kwa nje kama linavyoonekana leo
Muonekano wa jengo la Uchapishaji kwa nje kama linavyoonekana leo
Chapisho la kalenda moja kati ya machapisho yaliyomo ndani ya jengo la Uchapishaji
Baadhi ya vitabu vilivyomo ndani ya jengo la Uchapishaji litakalowekwa wafku hapo kesho.
Baadhi ya vitabu vilivyomo ndani ya jengo la Uchapishaji litakalowekwa wafku hapo kesho.
Baadhi ya wainjilisti wa vitabu wakitazama machapisho mapema leo ndani ya jengo la uchapishaji
Baadhi ya wainjilisti wa vitabu wakitazama machapisho mapema leo ndani ya jengo la uchapishaji
Mchungaji Philip Guy akitoa semina mapema leo ndani ya kanisa la Ilala sda ambapo wainjilisti wa vitabu walipata fursa kuuliza maswali mbalimbali hasa juu ya mafao mara baada ya kusaafu.
Muonekano wa jengo la Uchapishaji kwa nje kama linavyoonekana leo
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA