Tuesday, February 10, 2015

 Waimbaji wa nyimbo za injili toka jijini Mwanza wakihudumu sehemu mbalimbali za nchi ya Tanzania wanakuletea tamasha kubwa mapema mwezi wa tatu.
Soul Brothers mpaka sasa wana matoleo mbalimbali ya audio kama;-1.Nipe habari 2.Dunia tulia kwa Bwana 3.Twendeni Mbinguni
Kwa habari zaidi juu ya tamasha hili endelea kuwa nasi....
Waimbaji wa Soul Brothers wakiwa ndani ya studio ya Morning star Redio
Waimbaji wa Soul Brothers wakiwa ndani ya studio ya Morning star Redio
Waimbaji wa Soul Brothers wakiwa ndani ya studio ya Morning star Redio
Waimbaji wa Soul Brothers wakiwa ndani ya studio ya Morning star Redio na mtangazaji Maduhu
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA