Wednesday, May 27, 2015

Tunahitaji watu wa kubadili mitazamo hasi juu ya bara la Afrika kuwa sisi ni masikini na hatuwezi kufanya jambo lolote la kimaendeleo bila kutegemea nchi nyingine.
Na kutokana na mitazamo hii,vijana wengi tumejiingiza kwenye biashara na matumizi ya madawa ya kulevya ili kupata pesa au mafanikio ya harasa na kimsingi hayataleta maendeleo hata kidogo.
Kijana Mungu anakuhitaji wewe kubadili mitazamo hii iwe yenye tija na kuwafanikisha wenzako kimaisha huku ikifungua fursa mbalimbali
Fuatana na Elly David mhamasishaji wa maswala ya kibiashara na mwanzilishi wa Endtime Youth Empowerment na hapa akiongelea juu ya mitazamo..

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA