Ni moja kati ya huduma njema ambayo tangu nimfahamu mwinjilisti Eliezer Mwangosi,amekuwa ni msaada mkubwa katika kufanikisha masomo na mahubiri mengi katika kuimarisha hari za kiroho hasa kwenye mitandao ya kijamii kwa kutuma na kuweka habari toka sehemu anapohudumu siku hiyo au tukio la mbaraka aliloshuhudia yeye mwenyewe.
Leo tunakwenda kutazama tukio lililofanyika katika kanisa la Kijichi SDA-Dar Es Salaam,ambapo mwinjilisti Mwangosi ndiko anakosali na ameandika hivi katika ukurasa wake wa Facebook
"Hivi ndivyo tulivyohitimisha juma la huduma za Familia katika kanisa la Waadventista wasabato Kijichi, ilikuwa ni wiki yenye mafuriko ya Baraka Kwa wote waliokuwa wanahudhuria. Mafundisho na Semina za Kuimarisha na kuboresha ndoa, mahusiano na uchumba Kwa Vijana, malezi ya watoto na mafundisho yaliyojaa matumaini kwa Wajane na yatima, yalitolewa na Mchungaji Musa Mika katika wakisaidiana na Mchungaji wa mtaa Joram Machage. MUNGU AWABARIKI WACHUNGAJI WALIOHUDUMU NA WOTE WALIOHUDHURIA."
Habari/Picha na Ev Eliezer Mwangosi
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

Pichani ni baadhi ya washiriki na wachungaji wakiwa ni familia yani mke na mme katika picha ya pamoja. |
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment