Saturday, June 06, 2015

Na Stephen Leta,Mchungaji
Mchungaji Rabson Nkoko - Mwenyekiti wa Konferensi ya Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania wa Kanisa la Waadventista wa Sabato akitoa hotuba ya ufunguzi kwenye semina ya Pastor's Kids inayoendelea hapa Makao makuu ya Konferensi Iganzo. Mwenyekiti aliwatia moyo watoto wa wachungaji kuu jitahidi kuwa mfano mwema katika jamii huku wakizitambua faida na upendeleo ambao Mungu na Kanisa linawapatia. Alimalizia kwa kuwaasa kuto kata tamaa kwa changamoto wanazopitia wakitambua kuwa jamii inatarajia makubwa kutoka kwao na Mungu you tayari kuwasaidia.

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA