Hatimaye ile siku kubwa iliyokuwa inangojewa na jamii ya waumini na washiriki wa kanisa la Waadventista Wasabato duniani kote imefika na tayari ratiba ya vikao inaanza leo tarehe 2 mwezi huu wa 7.
Ni kikao kinachokaa kila baada ya miaka mitano kwa kuwakutanisha wajumbe kutoka katika makanisa yote duniani kushiriki kutafuta viongozi watakaoliongongoza kanisa katika ngazi za juu lakini pia kufanya maamuzi juu ya mambo yanalihusu kanisa.
Bonyeza hapa chini kupata nakala ya Ratiba ya vipindi, Muongozo wa Vipindi na Ratiba ya kurusha matangazo Hope Channel.

>>>>RATIBA YA VIPINDI<<<<
>>>>KITABU CHA MUONGOZO<<<<
>>>>RATIBA YA HOPE CHANNEL<<<<
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:
Post a Comment