Tuesday, August 04, 2015

Aliyekuwa Waziri mkuu wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania ambaye hivi karibuni alitangaza kuhamia chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA Mh. Edward Lowasa mapema leo amechaguliwa kuwa mgombea kiti cha urais kupitia chama hicho.
Mkutano mkuu wa CHADEMA 2015 umefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City hapa jijini Dar es Salaam.
Hapa tunakuletea picha za tukio hilo
Mkutano Mkuu kufunguliwa na duwa ya Kikristo iliyosomwa na Mchungaji Zakaria Kakobe
Regina Lowassa akiingia katika Mkutano Mkuu akifatana na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema BAWACHA Mh. Halima Mdee
Mwenyekiti Taifa Mh Freeman Mbowe akisoma hutuba katika mkutano mkuu
.Naibu katibu Mkuu Zanzibar Mh. Salum Mwalim akifungua mkutano wa Baraza kuu
Sehemu ya ufunguzi iliyofunguliwa na nyimbo ya Taifa, Viongozi wakuu wakiwa katika hali ya utulivu na wajumbe kwa pamoja wakiwa wanaimba njimbo ya Taifa
Mwenyekiti Taifa Mh Freeman Mbowe akisoma hutuba katika mkutano mkuu

Regina Lowassa akiingia katika Mkutano Mkuu akifatana na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema BAWACHA Mh. Halima Mdee
Dua ya Kiislama imesomwa na Shehe Rajabu Katimba
Sehemu ya ufunguzi iliyofunguliwa na nyimbo ya Taifa, Viongozi wakuu wakiwa katika hali ya utulivu na wajumbe kwa pamoja wakiwa wanaimba njimbo ya Taifa

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA