Akiongea na injilileo Blog,muimbaji wa nyimbo za injili Nuru Ihima Kitambo amesema kwa sasa ametoa toleo la CD na baadae DVD itafuata.CD hii ina nyimbo tisa (9) na imetengenezwa katika studio ya Omega Production na mtunzi akiwa Amri Hingi,hakikisha unajipatia cd yako sasa kwani ipo kwa wasambazaji.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment