 |
Kulia ni Bi Harusi Leonila akiwa na msimamizi wake Bi Sharoni walikuwa kwenye gari la maharusi mapema leo asubuhi katika viwanja vya Kanisa la Kimara sda. |
 |
Kwaya ya vijana ya kanisa la Kimara sda walipokuwa wanaingia kwa maching. |
 |
Kwaya ya vijana ya kanisa la Kimara sda walipokuwa wanaingia kwa maching. |
|
 |
Kulia ni Bwana harusi akisema jambo na aliyeshika maiki ni msimamizi wa Bwana harusi Mr.Eliya Kisika na aliye na miwani ni Mchungaji aliyekuwa anafungisha ndoa Mchungaji Rahis Mande. |
 |
Kaka wa Bi harusi alipokuwa anamtoa dada ake kwa Bw. Erasto |
Kwa picha zaidi
BOFYA HAPA
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment