Sunday, October 11, 2015

Ni mibaraka ya aina yake na shangwe Mbinguni pale mtu mmoja akikubali kumfuata Bwana Yesu na kujikana nafsi.Katika ukurasa wa Facebook wa kwaya ya Ambassadors of Christ kuliandikwa maneno haya; 
"We presented the music, Pr Mbasana preached the word and praise God 11 young people gave their lives to Jesus.
He told them, they now have a new name and a new life...for the old is past and behold all is new.
Please keep the new souls in your prayers."
 "Tulihudumu kwa nyimbo,Mchungaji Mbasana alihubiri neno na kumtuza Mungu na vijana 11 walimpa Yesu maisha yao.
Aliwaambia, sasa wana jina jipya na maisha mapya ... yakale sasa yamepita na tazama zote ni mpya.
Tafadhali weka roho mpya katika maombi yenu" 






picha zote na AMBASSADORS OF CHRIST
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories: ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA