Wednesday, October 14, 2015








Waimbaji wa LightBearers,Acacia Singers na Marafiki wa LightBearers Oktoba 11,mwaka huu walipata nafasi ya kukutana kwa mara ya kwanza na kutembelea mji wa kihistoria wa Bagamoyo ambako walijifunza mambo mbalimbali yahusuyo historia ya mji huo mkongwe na biashara ya watumwa.
Habari na picha kwa hisani ya Mtangazaji Blog


****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA