Thursday, December 31, 2015

Mwimbaji wa nyimbo za Injili Angel Magoti (pichani) ameendelea kung'ara kimataifa baada ya hivi karibuni kupata nafasi ya kuimba mbele ya maelefu ya wapenzi wa nyimbo za Injili nchini Kenya kwenye Tamasha la Lilikuwa International youth Foundation lilokuwa na kauli mbiu ya Badilisha fikra. Angel Magoti ameiambia blog hii kuwa tamasha hilo lililoendeshwa na Kituo cha Televisheni cha GBS karibu na Hoteli ya Safari Park jijini Nairob ni mmwendelezo wa tamasha alilohudhuria mwaka huu huko Korea. Angalia video ya Angel Magoti alivyoimba kwenye tamasha jijini Nairobi,Kenya.
Habari/picha na Mtangazaji Blog
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA