Tangu kuanza kwa mafunzo na semina za kuhifadhi taarifa za washiriki wa Makanisa ya Waadventista Wa Sabato, leo ikiwa ni siku ya mwisho, wajumbe ambao ni makarani, watu wa mawasiliano toka makanisa na konferensi wamepata nafasi ya kuingia kwa akaunti zao binafsi na kuanza kazi rasmi ya kuingiza majina ya washiriki wao.
Mkufunzi na mtoa semina toka Makao makuu ya Baraza la makanisa ya Waadventista wa Sabato duniani Bi. Sherri ameendelea kufundisha namna ya kuingiza majina ya makarani wa makanisa mahalia kwa ngazi ya konferensi na baadae makarani hao wa makanisa mahalia watapata ujumbe ukiwahitaji wakubali kuingia kwenye mfumo wa kuhifadhi taarifa uitwao Adventist Church Management System (ACMS).
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:
Post a Comment