Wednesday, December 02, 2015

NIPASHE
Mwanasheria mkuu wa Serikali George Masaju amezionya shule na taasisi za elimu nchini kutowanyima wanafunzi wao haki ya uhuru wa kuabudu kwani watakuwa wamekiuka masharti ya ibara ya 19 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inayotoa haki ya uhuru wa kuabudu kwa kila mtu.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA