Wednesday, January 27, 2016


Leo tarehe 27 mwezi huu wa kwanza, mtunzi, mwalimu na muuimbaji mashuhuri wa nyimbo za Injili nchini Tanzania Samwel Mwazini anakumbuka takribani miaka 22 iliyopita siku ya Alhamisi tarehe kama ya leo alipoingia duniani kwa mara ya kwanza.
Timu nzima ya Injilileo tunaungana na ndugu, jamaa, marafiki, wapenzi na mashabiki duniani kote kumtakia heri katika siku hii ya leo na maisha marefu katika kumtumikia Mungu.
Endelea kuwa nasi kwani muda si mrefu tutakuletea mahojiano tuliyofanya na muimbaji huyu. Utapata kumfahamu kwa undani na kufahamu kazi zake.
HAPPY BIRTHDAY SAMWEL
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA