Monday, January 25, 2016

"Ni nan huyu" utunzi wa wimbo ulio katika maudhui ya swali kuwa nani huyu ambaye ilikuwa ajabu akatoa uhai wake ili iwe fidia kwa wengi?
Tumaini tunalo kuwa huyu ni mmoja tu ambaye ni YESU KRISTO MWANA WA NAZARETI,yeye alishangaza watu hata leo hatuna majibu katika hili kuwa ni sayansi gani ya wokovu ilifanyika hapa

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA