Wednesday, January 27, 2016

Tunapoendelea kumpongeza Samwel Mwazini katika siku yake hii ya kuzaliwa, pia pata nafasi ya kutazama na kusikia wimbo wake wa Muite Bwana Yesu.

Unaweza pia kumtumia salamu za pongezi na kufuatilia habari zake zote kupitia ukurasa wake wa Facebook kwa jina la Samwel Mwazini
https://www.facebook.com/niko.wilfred
 
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA