Juma la huduma za familia lilioanza siku ya Jumamosi tarehe 13 February
2016 na litahitimishwa siku ya Sabato ya tarehe 20 February, Mhubiri
akiwa ni Muinjilisti Daniel Nkinda toka Kanisa la Golani mtaa wa Chuo
Kikuu.
kARIBU NA JUMUIKA NASI....
picha na KIMARA SDA CHURCH- WEBSITE
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
kARIBU NA JUMUIKA NASI....
| Muinjilisti Daniel Nkinda alianza juma hili siku ya jana ndani ya kanisa la Kimara sda |
| Muinjilisti Daniel Nkinda alianza juma hili siku ya jana |
picha na KIMARA SDA CHURCH- WEBSITE
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***



0 comments:
Post a Comment