Katika maisha ya familia, kuna changamoto na utatuzi wake wa aina mbalimbali, iwe baba au mama unakuta amejiwekea njia mbadala za utatuzi wa changamoto husika ambazo si mara zote anazijua mwenzi wake.
Katika mfululizo wa masomo ya huduma za familia katika Kanisa la Waadventista wa Sabato Kimara, hapa tunaona shuhuda za wanafamilia kwa majibu ya maswali yao walipokuwa wanaulizwa na Muinjilisti Daniel Nkinda.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Katika mfululizo wa masomo ya huduma za familia katika Kanisa la Waadventista wa Sabato Kimara, hapa tunaona shuhuda za wanafamilia kwa majibu ya maswali yao walipokuwa wanaulizwa na Muinjilisti Daniel Nkinda.
![]() |
| Familia ya Mr na Mrs Sekiete |
![]() |
| Familia ya Mr na Mrs E. Manoko |

0 comments:
Post a Comment