Waziri wa katiba na sheria, Mh. Harisson Mwakyembe amewaomba Waadventista Wasabato Tanzania
kuendeleza ukarimu na umoja walionao. Lakini pia amewapongeza kwa
uimbaji mzuri wenye kumtukuza MUNGU, Wakati huo huo pia amewaomba
Viongozi wa kanisa hilo kugonga hadi ofisini kwake endapo kutatokea mtu
yoyote atakaemnyanyasa muumini wa kanisa hilo katika swala la UHURU WA
KUABUDU.
Waziri huyo ameyasema hayo katika tafrija fupi ya kufunga mikutano ya Injili ya UHURU HATIMAYE iliyokua ikirushwa moja kwa moja LIVE na Runinga ya MORNING STAR pamoja na Radio katika Kanisa la Waadventista Wasabato Ushindi jijini Dar es salaam.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

PICHA/HABARI NA Jackson Mwarangi Sekiete
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment