Wednesday, April 13, 2016


A) Sheria za Mungu ni Amri za Upendo (Mathayo 22:37-40; Yohana 14:15; 15:10; Warumi 13:8)
B) Sheria za Mungu ni Amri za Milele (Zaburi 119:142, 44; Mathayo 5:17-19)
C) Hutupatia Amani, Furaha, Mafanikio, Hekima na Akili (Kumbukumbu la Torati 4:6; 5:29; Zaburi 119:165)
D) Sheria Zimekusudiwa kwa Wanadamu Wote kama Kanuni ya Maisha (Mhubiri 12:13, 14; Marko 2:27)
E) Sheria Hutudhihirishia Tabia ya Mungu ya Haki, Wema, Utakatifu (Zaburi 40:8; Warumi 7:12; Kutoka 34:6)
F) Sheria Huhitaji Utii wa Hiari (Yohana 14:15; 1 Yohana 5:3, 4)
G) Sheria Hutuelekeza kwa Kristo (Yohana 5:39; Mhubiri 12:13, 14)
H) Sheria Hudai Utii Kuanzia Moyoni (Kumbukumbu la Torati 5:29; Mathayo 5:28, 29)
I) Sheria Zote Hutegemeana na Kukamilishana (Yakobo 2:10, 11)
J) Sheria ni Kipimo cha Hukumu (Mhubiri 12:13, 14)

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA